Posts

Showing posts from September, 2023

FPT kuhudumu kesho

  Na mwandishi wetu . Ikiwa kesho siku ya Jumapili tar 10/9/2023, Team ya kusifu na kuabudu ya FPT kutoka usharika wa Ludewa itaongoza sifa katika ibada itakayofanyika pale Ludewa mjini kanisa la Lutheran. Nyotenakaribishwa.